St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Hongera kwa kuongeza mwaka katika maisha yako
Uishi miaka mingi mpaka ubadilike rangi uwe Mweupe.
Umwsahau kuwa watoto nao huwa wanang`ata na vile vi ufizi vyao,nitavitumia hivyohivyo.
Ha ha ha ha, haya bwana, kweli wanasemaga mwanaume ni mwanaume tu hata kama kana siku moja.
Sasa wapwa huwa wanasema hii ni sababu nyingine ya kukutana. Kwa hiyo leo ni wapi, Bunju, Boko, au???
HONGERA SANA!.....
ijumaa ''patachimbika'' hapa daslam
😛lane:naja na kopo la rangi nyeupe...i wanna u look white jaman babu wa wajukuu wangu thou nakupenda kwa rang yako black....:smile-big:
mungu akuzidishie busara na hekima zaidi
love uuuuuuuuuuuuu!!!!!
Hepi Besdei Nyau. Nakupenda
Happy birthday paka mweusi na mapaka wenzio wote. Zikifika zao wasiseme sijawawish.
Happy Birthday PM,long live with lots of blessings in your life!!!!:smile-big::smile-big:
HAPPY BELATED BIRTHDAY PAKA MWEUSI..sasa kwasababu ni mtoto,punguza mwendo,unakimbia sana kwenye avatar yako!:A S 39:!be blessed..
Afadhali angalau nami nimependwa leo wenye wivu wajinyonge,nami nakupenda pia....
Na wajinyonge kweli. weka avatar ya paka mweupe. Haya furahia siku yako