Happy birthday kaka yangu Paka Mweusi

Happy birthday kaka yangu Paka Mweusi

Sasa mbona nawekewa vikwazo mapema sana?

Hilo tu kaka lisikupe hofu, hata Ibrahimu alimwita Sara mke wake dada wakati walipokuwa wameenda Misri. Manake aliogopa kuuawa na Wamisri kwa sababu ya uzuri wa Sara.
 
Happy-BirthDay-Quote.jpg
 
Hilo tu kaka lisikupe hofu, hata Ibrahimu alimwita Sara mke wake dada wakati walipokuwa wameenda Misri. Manake aliogopa kuuawa na Wamisri kwa sababu ya uzuri wa Sara.

Sasa hapa we unamuogopa nani?Si unitendee haki tu.....:amen:
 
Hongera Black cat! mungu akuzidishie miaka ya kuishi hadi ushindwe kutembea, vituuu viwe vinatoa ndani na kukurudisha ila siku moja wakusahau nje unyeshewe na mvua hadi ukome! Happy Birth day 2 uuuuuu!!!!!!!!!
 
Hahahahahaahahahah,wakija nitapigana nao mpaka tone la mwisho la damu yangu....

Mmmm, mtu mwenyewe mtoto utaweza kupigana kweli. Si watakurusha tu kwa mkono mmoja.
 
Hongera Black cat! mungu akuzidishie miaka ya kuishi hadi ushindwe kutembea, vituuu viwe vinatoa ndani na kukurudisha ila siku moja wakusahau nje unyeshewe na mvua hadi ukome! Happy Birth day 2 uuuuuu!!!!!!!!!

Mh....! Na wajukuu wa siku hizi hawa...!!!
 
Hongera kwa kuongeza mwaka katika maisha yako
Uishi miaka mingi mpaka ubadilike rangi uwe Mweupe.
 
Back
Top Bottom