St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Happy birthday mpendwa
Nashukuru mpendwa si unajua leo mi mtoto hivyo sitakuwa na mengi lakini namshukuru LD kwa surprise.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Happy birthday mpendwa
Pamoja mkuu,karibu Amsterdam.........
api basda CAT BLack!
sivuti bange mie kaka l.o.l ila ahsante
Umri niliotimiza leo ni umri wako ongeza mwaka mmoja,sasa usiniulize nimejuaje umri wako...
Pamoja na hayo karibu tu kaka hata kama huvuti bangi nitakupeleka kwenye vioo...
Hilo tu kaka lisikupe hofu, hata Ibrahimu alimwita Sara mke wake dada wakati walipokuwa wameenda Misri. Manake aliogopa kuuawa na Wamisri kwa sababu ya uzuri wa Sara.
Aah! basi nimeshajua, hongera tena mwaya..
nasikia mnawasha sana video huko....hivi ni kweli?
Wamisri na huku si wapo? Naogopa kuchinjwa, lakini ukweli si unaujua?? Kausha basi PM!
Hongera Black cat! mungu akuzidishie miaka ya kuishi hadi ushindwe kutembea, vituuu viwe vinatoa ndani na kukurudisha ila siku moja wakusahau nje unyeshewe na mvua hadi ukome! Happy Birth day 2 uuuuuu!!!!!!!!!
Mmmm, mtu mwenyewe mtoto utaweza kupigana kweli. Si watakurusha tu kwa mkono mmoja.