Happy birthday kaka yangu Paka Mweusi

Natumaini ulisherehekea vizuri siku yako ya kuzaliwa, Ingawa hukualika Paka wenzio, manake jana nlikutana na Pakajimmy pale maeneo ya Bluetooth akanambia hukumualika wala alikuwa hana taarifa. Kwa kweli hili liliniumiza sana, kwani kama tu huwapendi paka wenzio utanipenda je mimi?

Pakajimmy, babapaka, mamapaka,pakamweupe,pakawamadoadoa,bibipaka,babupaka. Polesana ila birthday ijayo nadhani hatarudia kosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…