Happy birthday Kamanda John Mrema , Mshereheshaji wa " Mabadilikoooooooo "

Happy birthday Kamanda John Mrema , Mshereheshaji wa " Mabadilikoooooooo "

Hahaha.....
Kwa mjibu wa katiba ya chadema toleo la 2006 sura ya tano fungu namba 11 mgao wa mapato yatokanayo na ada na viingilio itakuwa kama ifuatavyo:
a)Msingi 25%
b)Tawi 20%
c)Kata/wadi 15%
d)wilaya/jimbo 20%
e)Mkoa 20%
f)Makao makuu 10%

Mgawo wa mapato mengine yeyote utategemea priority zetu zilizopitishwa na baraza kuu la chama.

Chadema tunaomba mtuambie hizi % zinafika kweli huko chini na kama zinafika ni kwaajili ya nini maendeleo?kama maendeleo mbona ofisi za chama zimeoza au hazifai kufanywa ofisi maana kujenga au kukarabati ofisi ni miongoni mwa maendeleo na kazi za hizo %.

Kama hizo mmeshindwa kutumia kwa manufaa ya chama,iweje kwa ruzuku??

Watanzania wanataka kuwakabidhi nchi lakini wawakabidhi watu ambao hawajaonesha mifano ya kujenga ofisi zao wenyewe wana lala na makarablasha ya chama nyumbani,na nyaraka za serikali zitafanywa hivo hivo.

CCM wao wamebakia kutumia ujanja ujanja tu katika uongozi na madaraka.
jikite kwenye mada mjomba
 
Back
Top Bottom