Happy birthday Kamanda Zitto!

Happy birthday Kamanda Zitto!

Ngongoseke

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
3,202
Reaction score
1,462
Happy birthday kamanda wa ukweli,jembe lisilo na ubishi mungu akupe maisha marefu uzidi tuwatumikia wa Tz kwa moyo wako wote,
 
Mimi nakuombea kwa Mungu akupe umri mrefu zaidi ya mandela
 
Maisha marefu na mafanikio yenye kusimamia haki
 
hbd zitto,naona unakimbilia kwenye miaka ya kikatiba,hii inakuja yenyewe tu wala huna haja ya kukimbilia au kulazimisha,all the best bro!!!!!@zt
 
happy birthday zzk
kila la kheri ulimwenguni humu!:amen::amen:
 
Ukikua labda utapunguza tamaa za urais,HAPPY BIRTHDAY

Wewe pro Slaa lazima useme hivyo,kosa lake lipi? Kwani si mtanzania? Je hana haki yakuwa rais wa tz?au mpaka awe katoka kanda ya .........!!!?
 
kwa nondo unzgonga unayo kila sababu ya kusheherekea birth-date yako
 
Happy Birthday kamanda ila jenga chama zaidi kuliko kujijenga binafsi, tukiona unafaa tutakuja kukupigia magoti kukuomba ugombee urais..
 
Back
Top Bottom