Yes we enjoyed Love... It was fun kua nawe karibu na NASHUKURU Kua ulitupia na kitu white katika MAVAZI Yako, it makes you look "angelike" lol
Alafu Happuch nilikua nakuangalia siku zoote kwa wasi wasi it seems, kumbe you know how to grooove eeeh?? lol (tutatoka ladies out soon, tunahakikisha tunaita na wengine tukafurahie dansi)
Mpenzi Kwanza niombe samahani ya Sweetie kutokuwepo jana (He really likes you na alisikitika kukukosa) Katuma salamu, na juzi kati hapa alisafiri hivo katika zile zawadi kukuchagulia heels na handbag mbili.... Zipo super, of high quality tena leathers (shahidi King'asti kisha vaa) Hopefully utazipenda Happuch....
Shem ODM kanituma zawahi Happuch.... Kasema anahisi moyoni mwake unahitaji shopping spree, hivo katoa hicho kidogo alicho nacho ($650) nikusindikize ukaitumie vovote... na kuepuka mie kutamani hio pesa mie kanipatia $ 150 hivo we will have a GREAT day Mpenzi.... Do you like shopping??