~***~Happy birthday keren happuch~***~

Lol babe si nabaki nakuangalia tu....na sina dalili za kuchoka...lol....haya mafua nadhani yataisha yenyewe maana dalili za mimi kupandishwa ndege sizioni...thanks for being there jamani....nitapona tu...lol
 
....lol... We hujabanwa eeeh?? lol... Hapo juu - that am determined Love... my responsibility as well as obligation....
 
Haya banaaa πŸ™‚πŸ™‚ Naona hiki ni kiswahili kilichochakachuliwa πŸ™‚πŸ™‚....Usijali banaaa πŸ™‚ na hilo nalijua fika kwamba maneno mabaya kama hayo kwako ni MARUFUKU.

Siku na kazi njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…