Happy Birthday Khantwe

Haha kawaida yako kujisahau na unajisahau vingi kwelikweli mpaka aibu naona mimi. Umeshakuwa singo mara hii loh natamani niweke bango la 'brother for sale' of course siwezi kukugawa bure. Happy birthday to you once again
 
aiseeeee
ukiweka bango la brother for sale
aibu nitaona mimi
 
Usiwe na shaka bro. Hivi kwani hutaki ng'ombe? Ujue sikuelewi
haka ka chaliifrancisco hakataki kuja kujitambulisha kwa hiyo mwambie akitaka maziwa lazima afuge ng'ombe
mambo ya nini nifuge ng'ombe wakati nataka maziwa tu hapa haipo
nipo siriazi sana
Haha utajua mwenyewe mi nnachotaka utulie
Hili tutaliongea baadae
 
Dah! Naitafuta kamusi yangu hata sijui nilikoiweka. Mwenye nayo aniazime wakuu, tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…