Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Kitengo wapi njaa tupu hapa napiga miayo balaaTumashavishe bablai kama uko kitengo, kitaa pagumu. [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitengo wapi njaa tupu hapa napiga miayo balaaTumashavishe bablai kama uko kitengo, kitaa pagumu. [emoji23]
Sema Chalii umewezaje kuandika maneno mengi hivi?. nitengenezee kama hivi na mimi nimpostie shem wako tarehe 28
Ana kazi nyeti ya kunitunza dada yakoWe jamaa umeteuliwa sekta nyeti nini mbona siku hizi umejificha sana?
Aaahh kumbe ndio shemela?Ana kazi nyeti ya kunitunza dada yako
Asante mwenza. Huyo Kaboom nna mwaka sijamuona mimiMke mwenza bado sijachelewa.
Heri ya siku ya kuzaliwa kwako kipenzi, mwenye enzi akupe uhai mrefu wenye siha njema na baraka nyingiiiii.
Ila usimfiche Kaboom hivyo jamani, kula mbakishie mama.
[emoji253][emoji485][emoji513][emoji813][emoji813]
Mwambie mumeo MO11 alete kekiNataka keki[emoji85][emoji85][emoji85]
EeeAaahh kumbe ndio shemela?
Mwambie mumeo MO11 alete keki
Asante mwenza. Huyo Kaboom nna mwaka sijamuona mimi
Sio mume wangu huyo bwana.
Nataka wewe uniletee keki.
Aisee kumbe alikuwa anasema kweli asubuhi kuwa yupo singo
Eboo sasa we inakuhusu nini na nikuone unamsema kaka yanguAkiwa singo naandamana mistari kumi peke yangu, michepuko yote ile huo usingo anautolea wapi?
Sawa dada asante kwa taarifa
Eboo sasa we inakuhusu nini na nikuone unamsema kaka yangu
Espy wewe ni mwenza wake na Khantwe kwa Joseverest ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenza sio kwa shushu hilo.
Hapana, kwa Kaboom, alafu pia ni wifi yangu kwa Daby.Espy wewe ni mwenza wake na Khantwe kwa Joseverest ?
Haha na ukome kutujua kama umemuacha kaka yangu huku unampenda ndio imekula kwako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenza sio kwa shushu hilo.