Happy Birthday Kibunango

NaimaOmari

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2007
Posts
801
Reaction score
46
Happy birthday Dr.

Mungu akujaalie maisha marefu yenye neema na baraka

Hugs buddy
 
Happy birth day Kibunago...wishing long live to blow 80 candles.
 
Kibunango,

Zee la nyeti....Happy besdei to you mwanaa and may you go on to blow
more candles!

 
Adding up numbers....happy birthday Mkuu....
Sasa mbona leo umeingia kule chumbani ilhali we bado mtoto?πŸ˜€
 
many happy returns of the day!!

may you be happier
healthier
and wiser
than ever!!
 
NaimaOmari,

Umejuaje kuwa huyu jamaa ni b'day yake? Nachelea kumpa 'HB' yake...!

aaah wapemba hujuana kwa vilemba baba .. mezea tu ..

naifanyia timing ya kwako pia .. sijui lini vile?
 
Wanajamii...
Shukrani kwa heri zenu za dhati...Tupo pamoja katika siku hii ya kukumbuka kuzaliwa kwangu.

Aidha Shukrani kwa Naima kwa kufungua bandiko hili, ila nimeogopa kwa kuandika Dr. kwani Makamanda hawatachelewa kuhoji Dr. hiyo ni ya aina gani...πŸ™‚

Siku Njema...
 

Write in English please....
 
Happy sweet 16, may you live to blow 101 candles. Sasa party wapi leo?

Happy Birthday.
 
Mpendwa Kibunango, ninakutakia heri na fanaka katika siku yako ya kuzaliwa. Mwenyezi Mungu akujaalie uishi miaka mingi (angalau 120) yenye heri hapa duniani.

Happy Birthday Kibunango.
 

Ha ha ha naogopa 'kuchema' Dr. Kibunango ni Dr. wa nini πŸ˜‰
 
Birthdays are good for you. Statistics show that people who have the most live the longest!

Kibunango, growing old is mandatory; growing up is optional, please keep both!
 
Happy sweet 16, may you live to blow 101 candles. Sasa party wapi leo?

Happy Birthday.

aaaaaaaaaauch! only 16, hes not suite to be here in jf then .. by the way BaK mtu akiwa na ndevu mpaka miguuni anaweza kuwa 16?? nauliza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…