NaimaOmari
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 801
- 46
Happy birthday Dr.
Mungu akujaalie maisha marefu yenye neema na baraka
Hugs buddy
Mungu akujaalie maisha marefu yenye neema na baraka
Hugs buddy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibunango au Kibunago what i know wako wawili.Anyway Happy birthdayHappy birth day Kibunago...wishing long live to blow 80 candles.
NaimaOmari,Happy birthday Dr.
Mungu akujaalie maisha marefu yenye neema na baraka
Hugs buddy
NaimaOmari,
Umejuaje kuwa huyu jamaa ni b'day yake? Nachelea kumpa 'HB' yake...!
NaimaOmari,
Umejuaje kuwa huyu jamaa ni b'day yake? Nachelea kumpa 'HB' yake...!
Wanajamii...
Shukrani kwa heri zenu za dhati...Tupo pamoja katika siku hii ya kukumbuka kuzaliwa kwangu.
Aidha Shukrani kwa Naima kwa kufungua bandiko hili, ila nimeogopa kwa kuandika Dr. kwani Makamanda hawatachelewa kuhoji Dr. hiyo ni ya aina gani...🙂
Siku Njema...

Happy sweet 16, may you live to blow 101 candles. Sasa party wapi leo?
Happy Birthday.