Happy birthday kimey!

Mwenye birthday yake anapoikimbia thread yake, hii si sababu ya kukutana kujadili jinsi mpira unavyoweza kuharibu social life za watu?

Umeona eeee........HAPPY BIRTHDAY TORRESSSSS!

AM OUT, SEE YOU
ITS ME KIMEY
 
Kiongozi nakutakia kila lenye heri katika maisha!

Mola akulinde, akuneemeshe na akutunze tunzo itunukiwayo washindi.
Hakika, Mwenye Enzi Mungu akuneemeshe.

Happy Birth Day Ki-Mey!!!!!!!!!!!!
 
Jumatatu naona ni sikukuu ya Mkoloni maana anaamua kukutumikisha kufidia siku za Jumamosi na Jumapili ulizopumzika aarghhhh!!!!!!!
 
Mwenye birthday yake anapoikimbia thread yake, hii si sababu ya kukutana kujadili jinsi mpira unavyoweza kuharibu social life za watu?
Nimerudi nilikua nabadilishwa Pumpers!
Halafu muache kuchakachua Sijui mambo ya mpira mi bado mchanga.
 
hongera kamanda.

flight : age number
transit: ujana
2nd Transit: mdingi
final destination: not to be mentioned for the sake of besdei party.
 
Kiongozi nakutakia kila lenye heri katika maisha!

Mola akulinde, akuneemeshe na akutunze tunzo itunukiwayo washindi.
Hakika, Mwenye Enzi Mungu akuneemeshe.
Happy Birth Day Ki-Mey!!!!!!!!!!!!
Thanx RealMan kwa baraka zako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…