Happy birthday kimey!

Happy birthday kimey!

Kwa mfano nikauomba hapa afu ukanikatalia, mtu kama huyu hapa chini anayenitafuta ubaya, si atanifungulia sredi?

Unaogopa kujadiliwa?? Haya Njoo chemba utoe maombi yako

AmeniPM hapa, anasema anaomba uwe unamgongea senks kwenye kila post yake....
Babu karudi kitandani

Naanza kama hivi....
The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

Darlingtone (Today)​
 
Unaogopa kujadiliwa?? Haya Njoo chemba utoe maombi yako

Naanza kama hivi....
The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

Darlingtone (Today)

Tatizo nabisha hodi malangoni mwako we hutaki kunifungulia. Ntatoaje maombi yangu kupitia dirishani? Yanahitaji na kupakana mafuta pia...upako.
 
Heee! nilikuwa wapi/.........duh! kweli mkoloni kaning'ang'ania kiuno.

HAPY BIRTHDAY Hommie!!!
 
Heee! nilikuwa wapi/.........duh! kweli mkoloni kaning'ang'ania kiuno.

HAPY BIRTHDAY Hommie!!!

Umenusurika au? aisee yule jamaa yetu wa jana kaomba mechi ya marudio, ila this time asije na wale mashabiki wake wakorofi
 
Mtanikuta kwenye namba tatu ya sheria zetu mama.......mwe!

assuming kwamba kila mwanchama ana kakikundi kake,then kila mmoja akaomba amtie darlingtone kwenye kakikundi kake...
 
Pangeni Ratiba tu.... Huku ngoma, Kule sarakasi, Upande mwingine Kwaya....
shkamoo darlingtone!

hahahahahahahaha
The Following User Says Thank You to Darlingtone For This Useful Post:
Teamo (Today)
 
Mwe.... Hii sredi ilivyochakachuliwa na hizi lugha macho yangu hayafanyi kazi tena aisee....
 
Na nikiona unajibizana nao tena, naondoka malangoni mwako.

Tulia babu... nshakuvisha msuli we ngoja nimalizane na vikundi vingine... si unajua Part time job na permanent employment... subiri nihudhurie kwenye Part time, ntarejea.... soon
 
Tulia babu... nshakuvisha msuli we ngoja nimalizane na vikundi vingine... si unajua Part time job na permanent employment... subiri nihudhurie kwenye Part time, ntarejea.... soon

BABU ANAPENDELEWA!...

hii itapelekea vikundi vingine kuandamana
 
Mwe.... Hii sredi ilivyochakachuliwa na hizi lugha macho yangu hayafanyi kazi tena aisee....

Ila tabasamu bado lipo eh??
Habari yako smiles...them i luv...
 
Back
Top Bottom