Happy birthday king Alikiba

Happy birthday king Alikiba

Kweli Haters mnachekesha,
Leo Alikiba ana miaka 50!!! Hahahaha
Okay tuseme ana miaka 50, so what??
Asifurahie siku yake ya kuzaliwa???
Asifanye mziki???
Haterz buanaaaa,
Happy birthday #King#Kiba#

Hello Dinazarde. Mambo?
 
Kweli Haters mnachekesha,
Leo Alikiba ana miaka 50!!! Hahahaha
Okay tuseme ana miaka 50, so what??
Asifurahie siku yake ya kuzaliwa???
Asifanye mziki???
Haterz buanaaaa,
Happy birthday #King#Kiba#
Kama kusema anamiaka 50 ni kuwa haterz,wewe ambaye si hater tuambie anamiaka mingapi ?????? au na wewe unadhani watu wanatumia fedha zao kwa ajili yake ili wamzidishie miaka ??????
 
Kiba Mshenzi sana baada ya kugundua Instagram hajamfollow mtu na Mie nika-kaunfollow fastaaa.
 
Kama kusema anamiaka 50 ni kuwa haterz,wewe ambaye si hater tuambie anamiaka mingapi ?????? au na wewe unadhani watu wanatumia fedha zao kwa ajili yake ili wamzidishie miaka ??????

Wewe una akili nzuri lakini?
Kwa kumuangalia Kiba anaweza kua na miaka '50'??
Kama ulitaka ujue miaka yake ungeuliza ni sio kujitoa ufahamu,
Kusoma hujui hata picha huoni??
 
Achana nae,mambo mengine yanakufanya mtu utafakari mara 2 uwezo wa akili ya mtu.
Mwishowe unamdharau tu.
 
Sina ujuzi wa kujua umri wa mtu kwa kumuangalia,vp wewe kwa kumuangalia unaona atakuwa 50 kapita au ?????? au unadhani natumia fedha zangu kwa ajili yake ili kupunguza miaka yake ??????
 
We si ulisema ushabikii wasanii waliopigia CCM kampeni, au unafikiri tumekusahau?
 
So what, kwani ugomvi we jibu swali ????? tunakukumbuka vizuri sana.

Mtaachaje kunikumbuka sasa?
Kuna nifah mwingine kwani?
Na lazima mnisome milele.
 
Last edited by a moderator:
Sina ujuzi wa kujua umri wa mtu kwa kumuangalia,vp wewe kwa kumuangalia unaona atakuwa 50 kapita au ?????? au unadhani natumia fedha zangu kwa ajili yake ili kupunguza miaka yake ??????

Hayo maneno "natumia fedha zangu kwa ajili yake" umeyarudia km mara 3 hivi,
Hebu yafafanue kwanza.

Hlf nitajie umri na elimu yako pia maana isije kua natwanga maji kwenye kinu.
 
Miaka yangu 76 na miezi 4 na siku 7, sijabahatika kusoma, haya maneno ni nukuu ya birthday boy pale alipokosa tuzo alisema hivi nanukuu "nimegundua kuwa kuna watu wanatumia fedha zao kwa ajili yangu ili nisifanikiwe "
 
Haya kunywa maji upumzike,
Kumuongelea sana mtu asiyekuhusu ukucha wala kidole sio vizuri,
Tuelekeze nguvu zetu ktk ujenzi wa taifa letu kwa ajili yetu na vizazi vyetu.
 
Back
Top Bottom