Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Happy born day to him.OP mnajuaje birthday za wengine humu.
😅😅😅😅kama ni mfupi Baki nae tu ila kama ni mrefu ni bora unitambulishe mapema nisije nikachafua hali ya hewa😅😅Naomba usije ukajiweka kwa shemeji yako sasa
Si unamjua?
😅😅😅😅kama ni mfupi Baki nae tu ila kama ni mrefu ni bora unitambulishe mapema nisije nikachafua hali ya hewa😅😅
Sa itakuwaje..kuna wengine warefu waliobaki humundani kweli😆😆nifanye mpango nichanganye na hii mbegu fupi😆😆😆😆🙆♀️🙆♀️🙆♀️Jehovah 😝😝Niachie babe wangu mrefu
Aiseh huku ni ngumu kuliko kuharisha mlima.😅😅shukrani sana
Haka kajamaa mwanzo kalikua kanazi ka CCM cjui kakaja kukutana na kitu gani hakataki kuiskia kabisa ccm ha ha ha ha ha HBD kamanda
Wachukuane wote mashort[emoji134]Mchukue Extrovert
Hutajuta
Umeanza wivu mama Dickson......Naomba usije ukajiweka kwa shemeji yako sasa
Si unamjua?