Yeah...tushamalizana
Nimempa talaka. Nipo single!!
Labda ni hao wengine lakini si mimi yakhe.
so nyie hampo kimkataba...
Mkataba? Kama ile ya sirikali ya CCM?
Thank you sana..
nitafurahi ukinielekeza alipo utafiti...
hapa ulimaanisha Rogie ama?
Hivi huu ni mchepuko wa utafiti eeh
imekua hivyo tena? na miss neddy je?