Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Asante mrembo!! karibu kwetu!!
Namasteee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mrembo!! karibu kwetu!!
Yetu uliivunja ungekuta unaiwakilisha hapa....
Yetu uliivunja ungekuta unaiwakilisha hapa....
nshakumbuka huyu jamaa aliitelekeza familia yake
Mhhhhhh????
Sasa unadhani mume wangu ni nani?Yani unatamani sana kuivunja ndoa yangu ila haivunjiki kamwe
thank you sana everlenk..
karibu kwetu.
Na ni bingwa wa kutelekeza familia huyo, kakubuhu.
Now anayo nyingine ambayo pia hata uhakika nayo ye mwenyewe hana.
Asante sana
Shangaa na wewe Prado toka Japan limeachwa!!!!
mida hii atakuwa Mori hapo kukamatia kimwana
Shangaa na wewe Prado toka Japan limeachwa!!!!
Hivi nimekukosea nini jamani? Habar za masiku?
ushaasahau mara? mi ni mpatanishi sio mwachanishi..
Karibu!! upate kitochi... now days ndiyo expensive
alchohol huku