Lilikuwa prado la mabox, now yupo anatapatapa tu hana muelekeo, kaokoe jahazi kabla hajatumbukia mtaroni.
Ah Wapi!! Alisema cha nini wenzake wanasema tukipate lini!!!
Nikukasirikie wewe nikose mume? Siwezi katu asilani,Hata nami napendwa aisiee!! Ntuzu my baby lov u....
Lini ulishawahi tupatanisha wewe??Sie ndoa yetu hata hatujawahi kugombana na hatuwezi
Hahaha!! Mmetisha!!..........nikinywa hicho ntatiaje aibu?
Mmh upo eyes tu?