Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
oh..umesahau kipindi unapewa pewa lift nili play role gani?
Ni wewe au macho yangu haya yanataka kutuchonganisha tu?
Uliplay role yakuniambia niwe na utafiti na nimuache mume wangu
kama ni mkataba sawa, duration yake ni miaka mingapi?
Mkataba wetu ni renewable kutokana na pafomensi zetu za 'kazi'...miaka miwili miwili...
Hapana, mi niliweka mambo wazi ili miss neddy ajue na wewe ushtuke.
Bila shaka kuna mtu anatumia id yangu.Sio mimi kabisa my wii
Hahahaaaaa mimi namjuaaaaaa
Hahahaaaaa!! Nicheke mie na mbavu ninazo, kumbe ndio maana unadandia tu hadi mabox, ila uache kunisingizia mie.