kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
kumbe "unamjua" hebu niambie vizuri, maana mie hata simfahamu huyu mtu.
:d :d :d
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe "unamjua" hebu niambie vizuri, maana mie hata simfahamu huyu mtu.
Hahahaaaaa!! Nicheke mie na mbavu ninazo, kumbe ndio maana unadandia tu hadi mabox, ila uache kunisingizia mie.
Wivu sana weye...! Punguza wivu mtoto weye, acha kunata...! Teeh!
Hahahaaaaa!! Sasa wivu utoke wapi jamani? Njoo nikugawie nyota maana yangu inang'aa kweli ndio maana nanata, kunata suna kwa mwanamke atii.
naanza kuamini katika uzuri wako!!
Eli79 hivi kwanini huwa hukubaliani na ukweli? Just move on baby mie sipo huko tena, najua unanipenda mnoooooo, hilo nalijua, ila sasa mie ndio vile tena.
Hahahaaaa!!! Mie sijasema hivyo
ngoja tuexchange kitu
Kitu gani dear?