cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,800
rabekha mume wangu, nimeitika baba maana umeniita!Mimi nna wake wanne tu.
wengine ni michepuko ambayo lazima ipate ridhaa ya wake zangu.
CC cacico, BADILI TABIA, Kongosho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rabekha mume wangu, nimeitika baba maana umeniita!Mimi nna wake wanne tu.
wengine ni michepuko ambayo lazima ipate ridhaa ya wake zangu.
CC cacico, BADILI TABIA, Kongosho
rabekha mume wangu, nimeitika baba maana umeniita!
mfuate bana...mwanamke anachukuliwaga.
tshirt za ukawa mume wangu! na ukwaju baba!Leo zamu yako mpenzi. Nikuletee nini??
tshirt za ukawa mume wangu! na ukwaju baba!
Hewala mama.... nikukute without kabisa......
Hewala mama.... nikukute without kabisa......
We kila mtu unatakaga umkute without!!
We vumilia tu,ukiwa na Asprin ni sawa na kupanga foleni NMB
My sweetheart and darling cacico.... usiwasikilize hawa mama.... tutakosana bure.Yaani huyo kuwa nae ujiandae na yote, na uwe na moyo wa ziada.
Babuuuuuu
'watanyooka tu' in diamonds platnumz voice! Luv u hubby wangu always! Kama kukupenda ni foleni, acha nipelekwe stesheni nikasubirie train ya mizigo!
Na hiyo treni ya mizigo mabehewa yatatoka wapi kwa mfano??? Tutakuwa sote kwenye locomotive.... tutapokezana kuendesha, liwalo na liwe.'watanyooka tu' in diamonds platnumz voice! Luv u hubby wangu always! Kama kukupenda ni foleni, acha nipelekwe stesheni nikasubirie train ya mizigo!