Happy birthday Kiwatengu

Happy birthday Kiwatengu

Na hiyo treni ya mizigo mabehewa yatatoka wapi kwa mfano??? Tutakuwa sote kwenye locomotive.... tutapokezana kuendesha, liwalo na liwe.

Love you more sweetito.

Hebu njoo wozap kwanza nikuonyeshe kitu.
luv u sanaaaaaa! hubby nuimekuja wozap kama ulivyoniagiza i guess u r happy!
 
aaaawwww my man is hotter and sexy than yours! luv u more sugar just for this sentence!

Waow.... what a comment from the woman I love...

Am humbled.

Will always love you, sweetie.

And thats a promise....
 
nimezoea foleni mdogo wangu! hata sishtuki! cc Asprin!

Usisikilize ya watu mama. Tutagombana bure....

Na unajua sipendi tugombane kabla hatujatimiza ile ahadi yetu....
 
Last edited by a moderator:
Kitu ambacho hujui ni kuwa mimi na cacico hatujafahamiana gulioni Katerero.

Karibu Pentagon kwa Kibwetere upate mbili za kukata kiu...
hubby wa mimi, tell them please, tell them in capital letters! luv u more!
 
hubby wa mimi, tell them please, tell them in capital letters! luv u more!

ALright.... Ladies and Gentlemen.... cacico LOVES ME... I LOVE HER TOO. Tupigieni makofi tafazali...
 
Last edited by a moderator:
Bwashee kiwatengu happy birthday Mkuu dada yng shannsarie mpetipeti Bwashee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom