Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
hahahahaSi tulikubaliana haya mambo ni ya kike na mabitozi.!!
Since your first post najiona tuko connected.adi wivu na mimi mniwish basi.๐๐
Aliye let post ana wajibika na swali lako. I'm just mentionedSi tulikubaliana haya mambo ni ya kike na mabitozi.!!
Banana mikungu mingapi?Bujibuji leo ungekuwa nilipo ningekununulia banana za buku tano ulewe ile mbaya.
Heri ya siku ya kuzaliwa.
๐Bujibuji najua huwa hupendi personal life iwe exposed, lakini kwa umuhimu wako hapa Jukwaani, niona nikutakie heri wee na Wana JF wote mnaoadhimisha siku yenu ya kuzaliwa leo.