Happy birthday Le-mutuz

Hbd lemutuz
Huu si ufataki kweli jamani? Maana tofauti ya miaka hapo ni kama 19 yani anamzaa bila ya tatizo. Hizi selfie zimeleta mambo yani babu zee linaweka poutty lips nalo jamani, huku ni kujidhalilisha hasa.
 
Teh Teh nimecheka sana...
Huyu mbebezzz umri wake ni sawa na nyumba za kariakoo.....mana zimejengwa miaka ya 50 kuja 60 halafu anajiona janki....shida hataki kukubali kua uzee umemwita wakti kala xmas 55 si babu huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…