Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe bado yanki wewe ndo unataka kumzeeshaHuyu si amezaliwa 1956, mbona mnampunguzia umri?
Agemate?Le Mutuz is ma dude.
Agemate?
Sijawahi kujua ni kwa nini Lemutuz anachukiwa humu.
Hongera le mutuz Kwa kutumiza miaka 55,leo jumamosi ya tarehe 25.06.2016
Kweli le mutuz anafaidi, mtoto mkari kama zile siku zake Mungu kamuepusha nazo
hahha haah aisee MANI utakuja kwenye le super party?MSAGA SUMU njoo huku unaitwa.
haha haaa hata mm nmeisikia hiyo somewhere,halafu mwili wa Lemutuz unaweza ukadhani wakina Mengi na Bakhresa wanasubiri sanaEti lembebezz ni mdananda alivyotoka usa baby kuna mama anaduka la fenicha hapo mitaa y namanga.....alimlea kma mwez akijua jamaa yuko njema na jamaa kila cku anakula haachi hata kodi y meza.....mama ikijua jina la malecela ni kubwa le mbebez yuko loaded kumbe karudi na 500$.....wabongo ni kwere kwa kupekua
Hahaaa naskia mama ananoti mbebezzz hata hela ya chai ya rangi na andazii haachi.....maza akamtimuahaha haaa hata mm nmeisikia hiyo somewhere,halafu mwili wa Lemutuz unaweza ukadhani wakina Mengi na Bakhresa wanasubiri sana
Hahahahahaha huu utani wa ngumi, dah me kikongwe ila kanizidiHuo umri jeshi angekua amestaafu .....jamaa anaumri sawa na nyumba za kariakooo
Wewe bdo mbichi le mbebezz kala xmas 55.....umri wake sawa na reli ya katiHahahahahaha huu utani wa ngumi, dah me kikongwe ila kanizidi
55 - 36= 19..... kumbe me bado bado eeeeeee