Happy birthday Le-mutuz

Wewe bdo mbichi le mbebezz kala xmas 55.....umri wake sawa na reli ya kati
Nakufa kwa kicheko, kadirio la juu ni 60 yrs. Mmmh mkubwa hata kwa babake huyu sio bure... kuna haja ya kumpima umri wake kitechnolojia anaweza akawa anatafuta 70
 
Nakufa kwa kicheko, kadirio la juu ni 60 yrs. Mmmh mkubwa hata kwa babake huyu sio bure... kuna haja ya kumpima umri wake kitechnolojia anaweza akawa anatafuta 70
Huo umri ni sawa 55yrz angebaki ulaya ungekuta tayari anaishi nyumba za wazee ndio mana alirudi huku fasta
 
[emoji445] Uko kwenye group kama nane za Whatsapp unachat
Vitu unavyosema sio smart
Eti una mabebe kibao kama Mswati[emoji445]
 
Happy Birthday Lemutuz.... Uoe sasa maana sio kwa uzee huo[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Le mutuz hana mke?
Le mutuz anaishi maisha yake ndio uzuri wake after school bash anaweza kwenda

Live long king of all bongo network najua birthday party yako ulikua na lewabebez wakali sana
 
Bravo SEA MAN Happy born DAy and Chin Up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…