Happy birthday to You!
Happy birthday to You!
Happy birthday dear
Vin Diesel!
Happy birthday to You!
How old are you now?
How old are you now?
Happy b'day happy b'day, happy b'day to you!
Dearest Mwenyezi Mungu akujalie afya njema, akupe maisha marefu yenye furaha, amani na upendo!
Nipo mahali very busy, hapa napost via mchina ndio mana nimeshindwa kukurembea ukumbi mpenzi, ila usijali love manake wajua vile nnavyokupenda so i hope utaridhika na kufurahia hata hiki kidogo kutoka kwangu .
Vile wana chit chat wamejaliwa kuwa na moyo wa upendo nna hakika watajitokeza kufurahia pamoja nasi!
Asprin popote ulipo tafadhali nisaidie kuwaita warembaji wa ukumbi! Afu wewe leo
BADILI TABIA kasema upewe maji tu, ndovu hapana!
afrodenz popote ulipo unahitajika mpendwa!
Bishanga atatuletea keki, hakikisha ni nzuri na itamfanya husband azidi kuwa mwenye furaha! Plz umwambie na nduguyo
nitonye aje kwaajili ya kusafisha vyombo!
Kongosho na wifi
AshaDii watashughulikia chakula!
King'asti,
Erickb52,
Remmy,
Catherine,
Kaizer,
gfsonwin,
Mamndenyi,
charminglady,,
Preta PakaJimmy, watashughulikia vinywaji.
platozoom na mkewe
ummu kulthum wameahidi kujitolea gari. Tafadhalini sana isijekuwa ni kale kamkweche chenu mkajatuharibia shughuli!
Young Master,
BAGAH,
Baba V watatusaidia kuhudumia wageni waalikwa!...
Paw atakuwepo kulinda mlango, ole wake atakaejaribu kuzamia na kuleta fujo. Atashirikiana kwa karibu sana na
figganigga aka mzee wa mia!
The Finest na
Mr Rocky watashughulikia suti ya baby
Vin Diesel.
Yummy na
cacico watashughulikia gauni la
sweetlady pamoja na mchuchumio wa nguvu lol!
Blaki Womani wewe sikupendi ndio mana sijakupanga popote, huchelewi kunivunjia ndoa ! Ole wako nikukamate!
KARIA ,
Ndahani,
Kaunga,
Erotica (pole kwa kulea mimba) mtatufungulia muziki utakaoandaliwa na
BAK akisaidiana na
The Boss mda ukiwadia! Haijalishi hata kama
Erotica kachoka!
Mwaaaaaaaa kwa yeyote atakaepita kwenye uzi huu na kumtakia kheri sweet husband! Nawapenda wote!