Happy birthday lovely husband Vin Diesel

Mjini hapa baba, mwenye kisu kikali ndie anaekula nyama! Zubaa uchekwe!


Afu kamati ilikukabidhi hela ya keki ya kizungu sasa kama hujipendi we leta hayo makitu yako uone!
 
Last edited by a moderator:
BAGAH umeshapiga kura ya kumsaka atakae ingia fainali ya miss chichat leo jion?
Tafadhali usituharibie shughuli, rudi huko kwenye huo uzi wako ukapigie debe huko, hapa tuko kisherehe zaidi.
 
Last edited by a moderator:
halafu sweetlady mie ndo nishafika hapa......
Kuhusu swala la kuremba ukumbi shaka ondoa, keki ipo tayari na mc anatest mitambo.....

Asprin leo no beer baby, maana tukitoka hapa tunaenda kwenye fivesome, cacico keshajiandaa na shanga yake ya dhahabu, na kungu aliyoagiza Yummy zishafika, parti ikiisha tunamchukua Kongosho tunaenda kula raha .....weekend oyeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
happy birthday day my shem, sweelady my dada naomba kusimamia vinywaji vikali vikali i.e. whisky & wines. ntahakikisha watu wanalewa tilalila. . .
Usijali lovely sister, mie kama shemeji langu mtoto sita atakubali sina neno kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Samahani nimechelewa kufika wifey. Kuna mzembe eti anakushindanisha wewe na Yummy kwenye shindano feki la umiss cht chat. Hivi ma Mrs watashirikije mashindano ya vimiss? Nimetoka kuwapa za uso na nimewatahadharisha waondoe majina yenu. Nimewapa dakika 30 za kuniomba razi kabla sijawageuza jinsia zao na kuwakabizi mimba.
 
Last edited by a moderator:

Eti sweetlady hii pesidei ni leo au kesho? Na leo ni jumangapi vile?
 
Last edited by a moderator:
Hehehehe, lengo langu mlewe afu mkifika majumbani mwenu mkapigane kesho tuje na husband kuwasuluhisha lol.


Tunasubiri ndofu kwa hamu, usichelewe tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Vin Diesel
Mwenyezi Mungu akujalie maisha ya heri na baraka na ubarikiwe sana sana
Maisha yako yakawe ya baraka na furaha na uishi maisha marefu sana sweetlady jua kwamba The Finest kasepa na pesa za suti na sasa hivi hapa natembea na RB hivyo popote atakapoonekana akamatwe
japo nasikia jana alionekana mitaa ya samaki samaki akiwa njwiiii
 
Last edited by a moderator:
Eti sweetlady hii pesidei ni leo au kesho? Na leo ni jumangapi vile?
Ni leo Asprin, ona raha yake imeangukia ijumaa hvyo hata mkilewa hakuna tatzo manake w end ndo ishaanza!


Nzuri zaidi huyu mtoto kazaliwa mwisho wa mwezi lol.
 
Last edited by a moderator:
aahhh my dada sweetlady, ni kiktambo kidogo sijakutia machoni, hope kadogoo hajambo! Vin Diesel my she m wa ukweeeeeeeeeee HAPPY BIRTHDAY, may u live to blow a 1000 candles! MUNGU MWEMA AKULINDE SHEMEJI, NA AKUPE KILA LA HERI!
sweetlady kiatu chako kitatua na KLM muda mfupi ujao, ni CL ya nguvu, leo utakuwa among wake wa wadhungu, lol!
 
Last edited by a moderator:
Ni leo Asprin, ona raha yake imeangukia ijumaa hvyo hata mkilewa hakuna tatzo manake w end ndo ishaanza!


Nzuri zaidi huyu mtoto kazaliwa mwisho wa mwezi lol.
Orayt sweetlady, waweza niambie huyu mtoto ni wa kiume au wa kike? Vipi maendeleo ya mama yake? Baba yake anaendeleaje?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…