hubby ni kweli unenayo, abiria chunga mzigo wako, hebu ukuje nishakunyooshea pamba zako, tuelekee kunako party ya Vin Diesel ebo!Samahani nimechelewa kufika wifey. Kuna mzembe eti anakushindanisha wewe na Yummy kwenye shindano feki la umiss cht chat. Hivi ma Mrs watashirikije mashindano ya vimiss? Nimetoka kuwapa za uso na nimewatahadharisha waondoe majina yenu. Nimewapa dakika 30 za kuniomba razi kabla sijawageuza jinsia zao na kuwakabizi mimba.
Tena wewe nimekumisije unajua? Hebu twende kule tukaendeshe kampeni ya kuwanyofoa Yummy na BADILI TABIA kweye udhalilisho. Tangu uwagaragaze last time wamechanganyikiwa wanataka kutuharibia ndoa yetu kwa wivu. Na miaka yako 46 umewagaragaza ingekuwa enzi zako ukiwa na 20 ungewafunikaje? Khaaaa!hubby ni kweli unenayo, abiria chunga mzigo wako, hebu ukuje nishakunyooshea pamba zako, tuelekee kunako party ya Vin Diesel ebo!
Orayt then.....Hahahahaha, walah Asprin nikifukuzwa kazi kwaajili ya kicheko nakufuata lol.
Happybirthday shem Vin Diesel. Mungu akupe afya tele. Halafu best sweetlady members wa jf wamehifadhi birth certificates zao kwako? Kama ya Mentor ipo huko naomba uirudishe chapu.
hubby imekuaje tena na wake wenzangu jamani?? si ulishakatazaga wake zako kuwekwa kwenye hayo mashindano?? lol, hubby hamishia hayo malabuku zao utosini ebo! have missed u too hubby, and u knw that!Tena wewe nimekumisije unajua? Hebu twende kule tukaendeshe kampeni ya kuwanyofoa Yummy na BADILI TABIA kweye udhalilisho. Tangu uwagaragaze last time wamechanganyikiwa wanataka kutuharibia ndoa yetu kwa wivu. Na miaka yako 46 umewagaragaza ingekuwa enzi zako ukiwa na 20 ungewafunikaje? Khaaaa!
Tena wewe nimekumisije unajua? Hebu twende kule tukaendeshe kampeni ya kuwanyofoa Yummy na BADILI TABIA kweye udhalilisho. Tangu uwagaragaze last time wamechanganyikiwa wanataka kutuharibia ndoa yetu kwa wivu. Na miaka yako 46 umewagaragaza ingekuwa enzi zako ukiwa na 20 ungewafunikaje? Khaaaa!
Happybirthday shem Vin Diesel. Mungu akupe afya tele. Halafu best sweetlady members wa jf wamehifadhi birth certificates zao kwako? Kama ya Mentor ipo huko naomba uirudishe chapu.
Samahani nimechelewa kufika wifey. Kuna mzembe eti anakushindanisha wewe na Yummy kwenye shindano feki la umiss cht chat. Hivi ma Mrs watashirikije mashindano ya vimiss? Nimetoka kuwapa za uso na nimewatahadharisha waondoe majina yenu. Nimewapa dakika 30 za kuniomba razi kabla sijawageuza jinsia zao na kuwakabizi mimba.
Happy Birthday shemeji Vin Diesel
halafu sweetlady mie ndo nishafika hapa......
Kuhusu swala la kuremba ukumbi shaka ondoa, keki ipo tayari na mc anatest mitambo.....
Asprin leo no beer baby, maana tukitoka hapa tunaenda kwenye fivesome, cacico keshajiandaa na shanga yake ya dhahabu, na kungu aliyoagiza Yummy zishafika, parti ikiisha tunamchukua Kongosho tunaenda kula raha .....weekend oyeeeeeee
Sawa shemejiNashukuru sana bwan shemeji.....
poor nitonye!
Hapi besidey kichaa wangu. Leo nimeamka kimtindo nagonga mazimuzi then after kuzimua naja fasta kwenye mnuso. Pata miaka 150.