Afu Mr Rocky ntaongea na wajumbe ili tuangalie namna ya kukutoa wewe na The Finest kwenye kamati manake mmezidi kula hela za shughuli. Kwenye b'day ya Young Master wewe ulikula hela ya gas ukasababisha tupikie kuni lol, TF nae kala hela ya thuti hahahaha, hamfai asee!Happy birthday Vin Diesel
Mwenyezi Mungu akujalie maisha ya heri na baraka na ubarikiwe sana sana
Maisha yako yakawe ya baraka na furaha na uishi maisha marefu sana sweetlady jua kwamba The Finest kasepa na pesa za suti na sasa hivi hapa natembea na RB hivyo popote atakapoonekana akamatwe
japo nasikia jana alionekana mitaa ya samaki samaki akiwa njwiiii
Orayt then... kamata hii keki kwa hisani ya Boflo.
orayt then... Kamata hii keki kwa hisani ya boflo.
Hahahaha.........furaha yako ni shibe yangu. Cheka tena kidogo basi niachie kaushuzi ka shibe.Kwikwi kwikwi kwikwi! Wallah mume sina mie khaaaaaaaaaaaaaaaaa! Hubby ndio nn kunicheksha mchana huu na unajua huzuni niliyonayo?, lol!
mama wa ubatizo sipendi utani haswa kwenye masuala serious kama haya! nna uhakika hutajuta, vitanoga mbayaaaaaa! na huo mguu wa bia ulojaliwa ndiyo kabisaaaaaaaaaaa!Mwaaaaaah hapo kwenye kiatu ndio mana nmekuchagua wewe kipenzi...(napost via mchina lol, nkihamia via kompyuta utalamba LIKE)
Kadogoo yuko poa kabisa anakupa hi mamake wa ubatizo!
khaaaaaaa nimecheka sana! nawamiss sana, msalimieni mno allah tashriff! nawamiss mnooooooooo! mwahhhhhh!Hahahaha.........furaha yako ni shibe yangu. Cheka tena kidogo basi niachie kaushuzi ka shibe.
Hehehehe! tena ana wivu na wewe khaaa! Anasema siku hizi nakufaidi peke yangu......! Hutaki kucheza na yeye tena eti...Khaa!!khaaaaaaa nimecheka sana! nawamiss sana, msalimieni mno allah tashriff! nawamiss mnooooooooo! mwahhhhhh!
Happy Birthday rafiki Vin Diesel mwenyezi Mungu akujalie miaka mingi ufurahi na mkeo sweetlady