Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
eeeehh my wifi sweetlady bora hujanipangia maana hicho ki Vin Diesel ningekikalisha na mikojo hadi kikome.....poor my braza nitonye
Happy birthday
Orayt then... kamata hii keki kwa hisani ya Boflo.
Ha ha ha...mtasema yote ila nitonye ashantonywa na akatonyeka kama matonya....
Oyeeeeeeeee............heri ya sikukuu ya kuzaliwa bwana shemeji Vin Diesel
BADILI TABIA vipi kungu inatosha au niongeze?naona sweetlady kaniPM hapa na yeye anataka
eeeehh my wifi sweetlady bora hujanipangia maana hicho ki Vin Diesel ningekikalisha na mikojo hadi kikome.....poor my braza nitonye
eeeehhh ngoja nikatinge viwalo niwahi mie kwa party nimejitahidi kumbeba braza naona habebeki..... liwalo na liwe
Blaki Womani uje na mtu mmoja kutusaidia kugawa ndofu coz mi nahisi nishalewa siwezi tena kazieeeehhh ngoja nikatinge viwalo niwahi mie kwa party nimejitahidi kumbeba braza naona habebeki..... liwalo na liwe
sweetlady mwenye matatizo ni The Finest bana
mi huwa namwamini afanye mambo ila ukimpa pesa tuu aiashia kwenye starehe
napenda kula bata mno so mara nyingine nipange na mtu mwingine bana The Finest ataniletea matatizo bure
Blaki Womani uje na mtu mmoja kutusaidia kugawa ndofu coz mi nahisi nishalewa siwezi tena kazi