eeeehhh ngoja nikatinge viwalo niwahi mie kwa party nimejitahidi kumbeba braza naona habebeki..... liwalo na liwe
Me like that... Mwaaaaaah!
sweetlady...umefananaje na jina lako...ila usisahau leo hubby ndo ana birthday...teh teh teh. Waafrika bwana tukishafurahi hatuishii hapo...tunaendeleza furaha. Hatuna shida wala haraka watu siye.
Hahahahaha Ndahani kuendeleza furaha ndio raha yetu bana lol......haraka ya kwenda wapi kwani?.....teh teh!
Wazungu wakishakunywa sana wanazimika...sisi tukinywa sana pombe inahamia kiunoni...teh teh teh....Yaani ni furaha juu ya furaha...naogopa huo mwaliko.
Hahahahahaahhahaha lol......nimeipenda hiyo ya pombe kuhamia kiunoni tehe tehe tehe!.........usiogope mwaliko bana:A S 465:
Heheehhe unakutisha kwani?
Ukiukataa mie ntasononeka sana!
Yangepotea si angeringa lol.....yaani kama ya Kaseja teh teh!
aise mtoto unaongea
:busu:busu:busu
:flypig::flypig::flypig: