mefrah banacheka tu babe
lol ".. hahaa.. asante " nilifikishiwa salamu zako... .hahahaa shukran Mother Confessor msalimie hearly
LMFAOnitashukuru usimfiche sana
hahaa we mzee wewe "..!!! duh!!umemfungia hearly hata jf umemkataza kuingia
Aamina " hahaaMungu amjaalie avune mazao mengi yamfae yeye na majirani
hahaha asante mnooo
tehee " hapana bado nipo bush ".. hapa nimepanda juu ya mpera ndio nimepata network "...hee ushakuja mjini??? Anafaidi nini?
hahahhaaha angalia usiteleze na mvua hizi, hafaidi walatehee " hapana bado nipo bush ".. hapa nimepanda juu ya mpera ndio nimepata network "...
si anafaidi ukubwa mkuu
Anytime " Dada lakehahaha asante mnooo
Amiin Insha Allah. ππππaaamyn, aamyn, atubariki sote, asante dada
hahaa haki vile " nikianguka na kufikia kiuno sijui nitakuwa mgeni wa nani " Ngoja tu nijishukie zangu hii arosto ya kuikosa jf isije kunitoa roho burehahahhaaha angalia usiteleze na mvua hizi, hafaidi wala
Nipo Mzee mambo niaje?Mzee upo?
kwa kweli hakuna namnahahaa haki vile " nikianguka na kufikia kiuno sijui nitakuwa mgeni wa nani " Ngoja tu nijishukie zangu hii arosto ya kuikosa jf isije kunitoa roho bure