Happy Birthday Madame

Happy Birthday Madame

huko kwenu hawajakufunza kwamba hautakuwa kwenu siku zote 😀😀
hahaa".. hawajanifunza" nadhani hawana uhakika kama nitafikia utuuzima " so wame weka emergency maybe naweza fikwa na kifo
 
Poa aseeh.

siku hizi unapatikana kwa shida nani anakuficha!
Ha ha ha ha mzee dada zako wote wamenipiga chini sa hvi imebda nimwone mwanasaikolojia it iz not normal
 
Back
Top Bottom