kwema??
hahaa bado sijakuwauwe mara ngapi?
kwetu nilifunzwa kwamba kumwambia mtu mzima Muongo ni Matusiuongo kwani?
hahaa".. hawajanifunza" nadhani hawana uhakika kama nitafikia utuuzima " so wame weka emergency maybe naweza fikwa na kifohuko kwenu hawajakufunza kwamba hautakuwa kwenu siku zote ππ
hahahahahahaa".. hawajanifunza" nadhani hawana uhakika kama nitafikia utuuzima " so wame weka emergency maybe naweza fikwa na kifo
Nipo Mzee mambo niaje?
Ha ha ha ha mzee dada zako wote wamenipiga chini sa hvi imebda nimwone mwanasaikolojia it iz not normalPoa aseeh.
siku hizi unapatikana kwa shida nani anakuficha!