shikamooMzee upo?
kwa hiyo umeamua kuniadhiri sio??? Hizo kababu utaleta huleti?ndo maana unakuwa bonge
Mpungaπ πhahahahaa analima nn???
Na mpunga juu...hahahaahahaha sawa mwambie atubebe matunda
Mungu amjaalie avune mazao mengi yamfae yeye na majiraniMpungaπ π
Hahhahah InshaAllah..Allah amfanyie wepesi,.Mungu amjaalie avune mazao mengi yamfae yeye na majirani
kebab plshapana bana sio hivyo, unataka kebab au kababu??
hiki kicheko, ya kweli haya???Hahhahah InshaAllah..Allah amfanyie wepesi,.
tumeanza lini kubishana?kebab hapana ntashindwa kukubeba bhana labda kababu
mmhna hivi napenda wali tena mchele mpya ahahaha can't wait
Tena upikwe na Madame S woiiina hivi napenda wali tena mchele mpya ahahaha can't wait
Kweli kabisaaa..ww unajua πππhiki kicheko, ya kweli haya???
hahaha sawa nakuaminiKweli kabisaaa..ww unajua πππ
Oooh! Hope sijachelewa, nami nichukuwe fursa hii kumtakia kila la kheir Madame S katika siku yake hii muhimu sana ya kuzaliwa kwakuOn this special day I wish you all the very best, all the joy you ever havhand may you be blessed abundantly today, tomorrw and the days to come...may you have a fantastic birthday and many more to come Happy Birthday.
Just forget about the wrinles, age spots and other things that come along with aging. Instead, look to your heart and act the age you feel, you will always be a kid inside and nothing can stop you, just remember that age is only a number
The more i spend time with you, the more i fall in love with you everyday. You have a gentle and beautiful heart that i promise to take care of all my life. thanks for being there for me always.
Your Bday deserves to be a national holiday unajua?? simply b'coz you are a special national treasure.
My love will never change even slight i just love you, i simply do.
Happy Birthday babe
Madame S
πππkisaaa????siku hiyo kusudi lazima, ntamtolea bokoboko hajawah kuliona kwenye maisha yake