Happy Birthday Madaraka Nyerere

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Leo Madaraka anatimiza miaka 64.
Ni mtoto wa mwisho wa Mwalimu Nyerere ( now that Rose Nyerere has passed away).
Madaraka amesoma Banking, Italy na Canada.
Madaraka ana predilection for going to Uhuru Peak,( Uhuru Peak,that is the summit of Mount Kilimanjaro).
 
Kwenye taarifa za mitandaoni Nyerere alioa 1953 na alijaliwa kupata watoto wanane hivyo kama Madaraka ndiye mtoto wa mwisho na sasa ana miaka 64 maana yake amezaliwa mwaka 1960 sasa je Mama Maria aliwezaje kuzaa watoto wanane kwa miaka saba? Yaani kutoka 1953 hadi 1960 alipomzaa huyo mtoto wake wa mwisho Madaraka? Hata kama huyo Madaraka angekuwa mtoto wa tano kuzaliwa bado ningependa kupata ufafanuzi,ni watoto wa mama tofauti au inakuwaje?
 
Kumbe naye alizaliwa tarehe yenye namba 13 .

Watu tuliozaliwa tarehe yenye namba 13 ni tunu ya ulimwengu.

Hongera Madaraka Nyerere.

Only the best for your special day! Stay as wonderful as you are .
 
Ndio maana jamaa ana utulivu sana wakati wa kuzungumza kumbe kasoma nje
 
Madaraka hana mambo mengi ni mstaarabu nimekaa naye jamaa ni wa kawaida sana Mungu ampe njia awe rais wa nchi hii
Kitendo tu cha kutokua na mambo mengi tayari Tz huwezi kuwa Rais๐Ÿ˜‚ si unaona kina Magu, JK
 
Kumbe naye alizaliwa tarehe yenye namba 13 .

Watu tuliozaliwa tarehe yenye namba 13 ni tunu ya ulimwengu.

Hongera Madaraka Nyerere.

Only the best for your special day! Stay as wonderful as you are .
Good to know, mie na madaraka ni tunu ya ulimwengu, happy birthday to Us๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ