Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Wewe tena itakuwa zaidi ya birthdayYangu na mimi sijui utanifanyia hivi mtarajiwa plus macake kama yote
Hahaha ngoja nisubiri.Wewe tena itakuwa zaidi ya birthday
Ni lini kwani?Hahaha ngoja nisubiri.
Miezi 9 inayokuja mtarajiwa. maana mwaka huu ishapita, niliku search mpaka basi kukujulisha.Ni lini kwani?
Ulinisearch wapi?hata sijaonaMiezi 9 inayokuja mtarajiwa. maana mwaka huu ishapita, niliku search mpaka basi kukujulisha.
Hahaha nahisi ulikuwa kule unako jifachagaUlinisearch wapi?hata sijaona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha huwajui wabaya wewe shem, anyways hongera kwa kuopoa kifaa
mwaka wa tatu sijui?? hapana... hakuna mtu anaweza tushika masikio miaka yote hii, zaid ya siku 1000Kuna mahali niliona ni Mtu Mmoja anajaribu kutushika masikio
Hahaha nahisi ulikuwa kule unako jifachaga
Kikubwa ni yako tu sasa hivi.
Utachaghua sehemu unayotaka ukaisherekee
Naomba iangukie siku ile ya kwenda pale unapopatiga kwa nje pasipo Ku ingia ndaniNgoja nisubiri
Naomba iangukie siku ile ya kwenda pale unapopatiga kwa nje pasipo Ku ingia ndani
Kwamba hawajui wabaya.. hahaha imebidi nijangalie kwenye kioo... huenda ni mmoja wao [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najua tupo pamoja mtarajiwaHahaahhah hebu nije PM manake sijakuelewa hapa