Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
NitakupigiaMuombe Smart911 kama atakubali..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NitakupigiaMuombe Smart911 kama atakubali..
Kweli inaita911 teh...
Hendsam huyo anajiita mbaya, kwani huyo kwenye avatar sio wewe?Kwamba hawajui wabaya.. hahaha imebidi nijangalie kwenye kioo... huenda ni mmoja wao [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi huo mzingo dogo ulisha ugonga au unamjazia notification za kummention kila comment yako.... pengine anaona kero ila anakukaushia hadi sasa hivi huyo demu simwoni tena akichangia humu jamvini alisha badilisha Id.... Tangia uanze kumshobokea naona umekuwa low thinking capacity.....
[emoji23] [emoji23] ni mimi huyo... [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] tusichapane fimbo saiz please [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hendsam huyo anajiita mbaya, kwani huyo kwenye avatar sio wewe?
[emoji3][emoji3][emoji3] kwani mimi mchapaji sana eeh?[emoji23] [emoji23] ni mimi huyo... [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] tusichapane fimbo saiz please [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] acha tu, na hv wengine sura zetu zinaweza tumika kama vithibitisho binadamu katokana na chimpanzee itakua balaa [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji3][emoji3][emoji3] kwani mimi mchapaji sana eeh?
Duuh haya[emoji23] [emoji23] acha tu, na hv wengine sura zetu zinaweza tumika kama vithibitisho binadamu katokana na chimpanzee itakua balaa [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mungu akutunzie ampe maisha marefu yenye baraka bibie
Happy birthday [emoji512] mahondaw kipindi una sherekea nilikuwa sina mb.
Happy birthday [emoji512] mahondaw kipindi una sherekea nilikuwa sina mb.