Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna siku nilitoroka jumapili sijasain bana asinikamate niko doks moja huko..
Hata hakusema kitu aisee sikuamini ile siku nahisi mizimu yakwao ilishuka nikawa zamu yake nikimuona tu yuleee kushoto mi napita kulia akikatiza huku mi kuleeeee.. Akiniona ananipiga jichoo lake lile siunanijuaa lilivo kavu mwenyewe najihukumu
Kuna siku nilitoroka nikakutana nae kwenye basi, weeeh nilimute kama sio mimi. Sikuamini hakuniita wala kunihoji. Ila nilimkwepaaaa hadi namaliza shule yani nisikutane nae tu. Kumbe alikuwa anakumbuka bwana, siku ya graduu akaniambia, "bahati yako umepata zawadi lasivyo ningekubarasaaa hadi mitihani uione michungu"