Happy Birthday Mahondaw

Happy Birthday Mahondaw

Status
Not open for further replies.
Kuna siku nilitoroka jumapili sijasain bana asinikamate niko doks moja huko..
Hata hakusema kitu aisee sikuamini ile siku nahisi mizimu yakwao ilishuka nikawa zamu yake nikimuona tu yuleee kushoto mi napita kulia akikatiza huku mi kuleeeee.. Akiniona ananipiga jichoo lake lile siunanijuaa lilivo kavu mwenyewe najihukumu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna siku nilitoroka nikakutana nae kwenye basi, weeeh nilimute kama sio mimi. Sikuamini hakuniita wala kunihoji. Ila nilimkwepaaaa hadi namaliza shule yani nisikutane nae tu. Kumbe alikuwa anakumbuka bwana, siku ya graduu akaniambia, "bahati yako umepata zawadi lasivyo ningekubarasaaa hadi mitihani uione michungu"
 
Haha bora hata ulijificha asee ungekoma mbona! Mimi ilikua hata kwa bahati mbaya nikigongana nae macho tu dakika sifuri nyingi hanioni nishajichanganya kwingine kama si kupotea eneo hilo
 
mahondaw wangu... Am so happy when you are happy... My super dear... What ever am doing and have done today for your birthday i had it planned in my mind already... I don't mind giving you what you are wishing for... You want it i provide... U ask for it i give... You say name it i do...

Remember a month a ago i was asking you.. What are you wishing for ambacho huwezi kufanya au kukipata na kama utaamua go for it kitakuchukua muda... Ukanitajia... I kept on asking u na ukawa unataja same...

I have surprise you with what u wished for... Love you mahondaw wangu...

And I always thank God for you love

you are kind of a man every woman would like to have love trust me..

Yani huwa nakutafakari sipati majibu kabisa my Smart911 naishia kujiuliza tu ulikua wapi miaka yote hio dahhhhhhhhhhh

I'm so blessed to have a blessed and genius man in my life

[HASHTAG]#Bakinamimi[/HASHTAG] Smart911 bebii
kimahondaw chako kinakupendajee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom