Happy Birthday Mahondaw

Happy Birthday Mahondaw

Status
Not open for further replies.
Honestly, nimekuwa mwenye furaha tele kuendelea kuiona hii couple ikingali hai hata sasa, pamoja na magumu pia changamoto nyingi mlizo pitia.
Mimi na mke wangu tunawapongeza sana....
 
Honestly, nimekuwa mwenye furaha tele kuendelea kuiona hii couple ikingali hai hata sasa, pamoja na magumu pia changamoto nyingi mlizo pitia.
Mimi na mke wangu tunawapongeza sana....

Asante sana my dear. Happy to see you alive jamani!
Shukrani kwa pongezi na baraka zako. Hakika mungu ni mwema . Usiwaze sana kaka
Smart911 ni muelewa sana kaka he never forget his brain no matter the situation!
 
Happy [emoji512] dea, enjoy moah lifeeh. [emoji3590][emoji7][emoji177]
 
Mkuu habari yako.
JamiiForums33808989.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom