Honestly, nimekuwa mwenye furaha tele kuendelea kuiona hii couple ikingali hai hata sasa, pamoja na magumu pia changamoto nyingi mlizo pitia.
Mimi na mke wangu tunawapongeza sana....
Kumbe wewe ni Gemini..😊Happy birthday fellow Gemini. Ila sie watoto wa Mapacha tuna mahaba! Sijawahi ona mtoto aliozaliwa June kichaa!
Gemini haswa, 1st June Baby! I guess kesho au keshokutwa ntakuwa naadhimisha Bday yangu!Kumbe wewe ni Gemini..😊
Hongera sana kwa siku ya kuzaliwa.
Thank uuuuuuu..💓Asante maam, Gemini tuko lit! Nawewe Happy Birthday in Advance
🤣🤣🤣It was giving me childish vibes....