Happy Birthday Mama Samia Hassan

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wasalaam wana JF wote!
Leo tarehe 27/01/2018 ndiyo kumbukumbu ya siku aliyozaliwa Mama Samia Suluhu Hassan ambaye ni Makamo wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Tunakupongeza sana Mama yetu kwa kuadhimisha siku hii muhimu sio kwako tu bali pia kwa na Watanzania wote.
Mungu azidi kukubariki.
 
amefikisha miaka mingapi? alafu we zee kwa kujipendekeza kwenye nchi ya kusadikika unaongoza..ila mama samia suluhu mwambie nakuja kumwagia maji ..kweny B.day yake Leo nadhan ataenjoy.
 
Huko Lumumba mnajifunza ujinga?
 
Huyu mama apewe tuzo ya mazingira kwa uthubutu alioonesha kuifanya Dodoma "kijani tena" (Kijanisha Dodoma) na kuhifadhi Bonde la mto Ruaha na sehemu zingine anakofanya jitihada kama hizi
"Happy Birthday mama Samia Suluhu"
 
mpe wewe tuzo sio unaleta siasa hapa ...uyo mama samia akuna cha maana alichowai kufanya hapa Tz
 
mpe wewe tuzo sio unaleta siasa hapa ...uyo mama samia akuna cha maana alichowai kufanya hapa Tz
Huwezi ukaona mazuri anayofanya huyu mama kwa sababu ya hali uliyonayo. Pole sana najua siyo wewe na hukupenda wala kuchagua uwe hivi, pole sana
 
Mleta Uzi punguza ufront front

Ova
 
Mama samia hajazaliwa january
 
Pongezi kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…