Vitalis Konga
Senior Member
- Sep 22, 2018
- 127
- 231
Huwa unakumbuka kuwawish happy birthday na kuwaombea wazazi wako. Isijekuwa hata tarehe za kuzaliwa za wazazi wako huzikumbuki. Dont get me wrong.Mungu akupe umri mrefu
Ni kazi yetu sisi vijana kuwaombea viongozi wetu.
Mungu Ibariki TanzaniaView attachment 1006160
Sent using Jamii Forums mobile app