Happy birthday Mama Samia

Happy birthday Mama Samia

Vitalis Konga

Senior Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
127
Reaction score
231
Mungu akupe umri mrefu
Ni kazi yetu sisi vijana kuwaombea viongozi wetu.
Mungu Ibariki Tanzania
FB_IMG_1548586762184.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nampenda sana uyu Mama,,From de bottom ov ma heart I luv ya So much
 
Nampenda sana huyu mama, msikivu, mpole, nilimpenda zaidi alipomtemaelea Tundu Lisu hospitali, yaani unamuona kabisa huruma yake kutoka moyoni na chozi la kweli alitoa, pia hana mambo ya kuweka rohoni na kufuatilia wasio na hatia, yeye anafanya kazi kwa kufata sheria na taratibu, pia ana busara sana HB MAMA SAMIA.
 
Naichukia sana ccm pamoja na wanachama/wafuasi wake, lakini inapofika kwa huyu mama wa hekima, natuliza boli!!
 
Kila la kheri kwa Bi Mkubwa wetu,Happy Birth Day
 
Back
Top Bottom