Happy Birthday Mama Tee (Zarieth The Bosslady)

Hivi zari katimiza miaka 40 na ngapi!?afu wewe alokwambia hizo Ni diamond karanga Ni nani!?
 

Wewe ni mwongo sana. Mwogope Mungu hata kama humjui. Yupo na siku moja atawahukumu waliohai na wafu hata kama hutaki.

Zari wakati anakutana na Diamond alikuwa kamwacha mme ndani kalala wapi? Unajua lini walikutana na diamond na unajua lini waliachana na Ivan?

Umalaya wa kale katoto kenye macho kama njegere pori hauwezi kuondoshwa kwa kubeba mimba. Kumbuka mabote ndiye amemfia Diamond na ndiye anayelazimisha mahusiano,na ndiye anajipeleka peleka, hadi kuiga mavazi ya Zari, na postures. Hakuna mtu asiyekuwa malaya ataalika wapiga picha akiwa kitandani na mwanaume, kw alengo la kuzitumia kwa maslah iyake idhini wala ufahamu wa mwanamme.

Ni malaya pekee ndiye anaweza kuweka picha akiwa na mwanamme kitandani halafu akajidai kwamba yeye ndiye.

Huwezi kuhoji matumizi ya kondom kwa kuwa katika mazingira ya umalaya kama ule, wamanmke malaya anayemtegea mme wa mtu na kumlazmishia mapenzi ili apate fedha. Inawezekana kabisa aliipasua hiyo kondomu makusudi au kujiwekea kutoka kwenye kondom, kama Nasibu alikuwa akikataa kuzaa naye.

Maboto ni shetani!. Na nyinyi mashabiki wake, mtafutieni mtu mwingine au wewe umpe mme wako lakini kwa Nasibu, ameweka clear, kwamba hamtaki maboto. Maboto ndiye alikuwa akilazimisha mahusiano na kwa dhamira yake Nasibu, anasema hawezi kukataa mtoto kwa kuwa anjua uchungu wa kukataliwa na baba yeye mwenyewe akiwa mhanga.

Tafuteni nyumba nyingine ya kuharibu kwa kumtumia huyo maalaya wenu lakini kwa Zari na Nasibu, imebuma.
 
U a genius my dear. True facts.
 
Huyu mwanamke ni mrembo jamani sifa zake tumpe lol. Watoto wat5 yupo hivyo wakati wengine mtoto mmoja tuu anakua kama simtank furushi sura haionekani. Oohh ghosh acha chibudee azimikie asee
 


pole kwa povuuuu hili, twambie kama zari alikuwa ameshamwacha ivani nillan ni wa nani??

pili kama hamisa alitoboa ndom akajiwekea vizuri

a) kwa nn mama dai kapeleka mbuzi kwaniaba ya mwanae?
2) kwa nn mtoto baada ya kuzaliwa diamond ameshalala kule mpaka asubuhi x2??

punguza povu na bado zari atapasuka maana mind anw kifaa kipyaa mm na wewe ni watazamaji
 
Happy birthday mamy ... Mungu awalani wanaokutakia mabaya ..
 


Kwa hiyo wewe umeshaona Nillan si mtoto wa Nasib? Hata Tiffa mlisema hivyo hivyo. Wapumbavu.

Hakukwambia kwamba alikwenda kulala na mtoto wake baada ya kuzaliwa? Hakukuambia kwamba yeye alikataliwla na baba yake na akaona uchungu ambao hataki mtu mwingine aupate?

What do you want to say bitch supporter?

BTW, I have cleared it out. Tafuteni nyumba nyingine na kuvuruga na Zari mmekwama!, Mbona huelewi wewe unalazimisha tu na malaya wako?

Kupeleka mbuzi wewe hukuelewa maana yake nini?

Kam akila kitu huelewi, bila shaka una matatizo yako ya ufahamu ambayo nadhani yamekusumbua ndiyo sababu hata elimu ya darasani ni mateso kwako.

KWA UFUPI, I DO NOT HAVE TIME WITH LOW PEOPLE WHO DO NOT KNOW THEIR STATUS. TAFUTA MWINGINE. SINA NAFASI YA KUBISHANA NA WATU WA KIWANGO CHAKO.
 
Umesahau na kujidildo jee?

Hamisa hajui hata porn video ikoje mtoto wa watu!
 
diamond amekiri kuwa kashaacha uhusiano wa mapenzi na mobeto sasa hizi ni wazazi tyuuuuuu, last interview
Wee unamuamini kila kitu?

Si huyo huyo alikana hajawahi kumdo mobeto na wala mimba sio yake?
 
Povu lote hili my dear imekuuma ee meza wembe. I dont care. Malaya ni malaya tu bado kutuonyesha video akipatiwa mtoto. Zile picha hazitoshi
Aaah Numbisa bana shost acha hizoo

Nilete Zarisextape hapa?....demu gani anajisugua uke na maplastiki
 
Na hiyo kulala Mara mbili ni uwongo usikaamini kale kajamaa

Kalikuwa kanaenda kulala kila siku kwa mobeto kuna rafiki yangu anaishi karibu na Hamisa!
 

wote hao wana caliber moja
 
Hivi Dai anaanzaje kumuacha Mobeto kwa mfano?

Interview tu inaonesha Domo kafa kaoza kwa Hamisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…