Happy Birthday Mama Tee (Zarieth The Bosslady)

Happy Birthday Mama Tee (Zarieth The Bosslady)

Haya kahaba kijana
Kuna pic amepiga kikahaba nilileta humu he he he utetezi wao ilikuwa eti zari hana tako kubwa la ivo pic imeeditiwa, pic inaonyesha kabisa akiwa yupo kwenye ukahaba lkn Bado watu wanapindiiiisha, zari ni kahaba mzee wakatae wakubali
 
Huyu mwanamke ni mrembo jamani sifa zake tumpe lol. Watoto wat5 yupo hivyo wakati wengine mtoto mmoja tuu anakua kama simtank furushi sura haionekani. Oohh ghosh acha chibudee azimikie asee
 
Sura ya Zari haina furaha kabisa,yani Moyo wake umejikunja kabisa...ila kwa vile anapenda maisha ya kulisha ndimu hana budi kwenda na flow.


Duh, video ya sekunde 30 tu umeona mpaka kwenye moyo? We kweli Chiboko.
 
Nadhani Diamond ataendelea kumfanyia vituko zaidi maana kagundua huyu mama anapenda maisha ya ustaa so hata akiharibu mama haendi popote coz anajua akiandana na Dai tu anasahaulika fasta
 
Weee utakua na kalenda yako.... Leo ni tar 24/09/2017.... Sasa tar ya video ni tar 30/09/2017... Hapo imekaaje.....
 
Leta,halafu mmekazania zari kujisugua kwa maplastic wakati wenginee wanajisugua hata kwa matango na ndizi aiseeee,watu wanasagana na kukoboana sembuse dildo,wimbo wenu umepitwa na wakati

Tukiwa upande wa zari oohoo mnamshobokea zari,mlitaka tumshobokee nani sasa. Bila zari wasichana wengi wa kibongo wangeendelea kuchoropoa mimba,bila zari insta kusingekua na accounts za watoto wa madada wa kibongo

ACHENI ZARI AITWE ZARI BANA
Tema mate chini we Dada eti bila zari wangeendelea kuchoropoa we kama ulichoropoa usidhani na wote walifanya hivyo...naona zari unamwabudu Haswa hadi unadiriki kusema eti bila yeye who is she bytheway
 
Alafu bibie bila wigi nikituko hapo alikua anaonea camera aibu. Hahaha anavyipenda camera hatujaona wakilambana lambana shikamo hamisa
 
Back
Top Bottom