Happy Birthday Mama Tee (Zarieth The Bosslady)

Happy Birthday Mama Tee (Zarieth The Bosslady)

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786
🙂

IMG_20170923_070956_742.jpg
 
Beautiful with brain. Vinuka mkojo vingi vinamuonea sana wivu. Happy birthday zari kubwa la maadui,jeshi la mtu mmoja.
Kwakweli nampenda sana huyu dada, sijui kwanini watu wanapenda kumtukana bila sababu.
Beautiful with brain,mond mwenyewe kakonda balaa kwa hv visiku vichache, anawaza jinsi ya kujirudisha kwake.
 
Wana wivu,wengi ni single mama ambao hawajakubali kuwa ni single huku wakimwona mwenzao mwenye watoto zaidi ya watatu akipata mwanaume mwingine na kuendelea maisha bila kutetereka

Kuwa single mom sio dhambi ila stress ni pale ambapo mtu anapoachika kisha anakosa pa kuanzia,akichungulia insta ya zari anachukia zaidi kuona mwenzie yupo juu kimaendeleo
Kwakweli nampenda sana huyu dada, sijui kwanini watu wanapenda kumtukana bila sababu.
Beautiful with brain,mond mwenyewe kakonda balaa kwa hv visiku vichache, anawaza jinsi ya kujirudisha kwake.
 
Huyu ndio mwanaume wa kweli anaeweza kumliwaza mwanamke na akamuelewa safi sana Dai usiyumbe umebahatika kumpata mwanamke wa kweli Strong women Hao vinuka mkojo waachie akina Kibakuli
 
Kwakweli nampenda sana huyu dada, sijui kwanini watu wanapenda kumtukana bila sababu.
Beautiful with brain,mond mwenyewe kakonda balaa kwa hv visiku vichache, anawaza jinsi ya kujirudisha kwake.

ukweli utabaki kuwa ukweli hakuna usaliti mdogo na mkubwa na kusema kakonda ni unafiki dai aliamua kuzaa na hamisa makusudi.

kwani hujamsikia akiseme tangu mtoto azaliwe amelala kwa hamisa hadi asubuhi tena Mara mbili??? ahaaa akili za wanaume wanazijua wenyewe
 
Kweli kbs, huyu mama bora akae zake tu kando. Afanye yake.
 
Happy birthday bonge LA mama ...ze mama lilozaa lakini bado lina UTAMU hatariiiii ,fulu kuwakimbiza mwendo wa mateka wadada mujini hahahahahha .

Guuu guuuu .....kiuno unoooo hips izooooooooo ,,kalio ndo usisemeee ,, sura ndo kabisaaaa ,,alafu mtafutaji wa nguvu !! .......hapa Lazima nikubali nikwann diamond amesema ukimpiga chini atatembea kwa miguu kukufata south..

Msamehee tu chibu banaaaa,,,,, unajua sisi wanaume huwa tunawekwa majaribun ,,naunapowekwa jaribun kuna haya ...

Either uache lkn akudharau

Au upige kumbe analengo lake.

Lkn my love is you Zarieth the big mama !!.
 
Back
Top Bottom